Sunday, January 31, 2010

Best Blogger Tips
Serikali ya mseto yapitishwa Z'bar

HATIMAE Baraza la Wawakilishi Zanzibar limeidhiria hoja ya kuundwa kwa serikali ya kitaifa kufanyika kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010.

Hoja hiyo liyowasilishwa na kiongozi wa kambi ya upinzani Abubakar Khamis Bakari na inayotaka kuundwa kwa serikali hiyo ili kujenga umoja na maridhiano kwa Wazanzibari ambayo wamekuwa katika migogoro ya kisiasa kwa muda mrefu.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

Thursday, January 28, 2010

Best Blogger Tips
Alicia keys avishwa pete ya uchumba

Alicia Keys na Beatz wakivinjari Hawaii beach siku aliyovishwa pete Jan. 24.

Alicia keys, amevishwa pete ya uchumba siku moja kabla ya sherehe ya siku ya kuzaliwa kwake, ambapo ametimiza miaka 29, iliyofanyika tarehe 25 ya mwezi huu. Aliyemvalisha pete hiyo ni Producer wake, anayeitwa Swizz Beatz. Beatz, 31, hivi sasa ameachana na aliyekuwa mke wake Mashonda.

Best Blogger Tips
Baba adaiwa kuua watoto wake wawili

JESHI la Polisi linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuua watoto wake wawili wa kiume, lakini Jeshi la Polisi limesema bado halijagundua watoto hao waliuawa vipi hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.


Mtu huyo, Moses Tipana, 37, ambaye ni mfanyakazi wa Bandari ya Dar es salaam, kitengo cha mizigo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wawili, Patrick Moses, 16, na Siti Moses, 12, baada ya maelezo yake kuhusu vifo hivyo kuwa na utata.
Pata habari hii kwa undani.
Best Blogger Tips
Babu akimbia baada ya kumbaka mjukuu wake

Unaweza ukadhani ni hadithi, ukweli ni kwamba jambo hili limetokea huko Mbozi katika mkoa wa Mbeya, binti wa miaka 10 amebakwa na babu yake. Babu huyo alimvamia mjukuu wake usiku wa manane na kumbaka huku akimtishia kumuua iwapo angetoa siri hiyo.
Kwa undani wa habari hii ingia hapa.

Monday, January 25, 2010

Best Blogger Tips
Lakers visit White House, meet President Obama

The Lakers came in first to a standing ovation in the East Room of the White House today, all of them wearing suits for their visit to meet the president of the United States, most of them looking excited and nervous.


Then President Obama came in, bounding up to the podium to an ovation that included all the Lakers’ players, all of them with smiles on their faces.

Obama congratulated the Lakers for winning the franchise’s 15th NBA championship, a 4-1 NBA Finals victory in June over the Orlando Magic, which was their fourth in the last decade.

Thursday, January 21, 2010

Best Blogger Tips
Rihanna aimba ‘Redemption Song’ kusaidia Haiti



Wednesday, January 20, 2010

Best Blogger Tips
Maafa ya Haiti

Michango mbali mbali inaendelea kutolewa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Haiti, baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha maafa makubwa katika nchi hiyo.

Rais Obama na mkewe, leo wametoa hundi ya $15,000 kwa ajili ya kusaidia watu wa Haiti. Juhudi kubwa zinafanyika ili kuweza kuirejesha nchi hiyo katika hali iliyokuwa nayo kabla ya maafa.


Majengo mengi yamenguka


Jamaa akitafakari nini cha kufanya


Tuesday, January 19, 2010

Best Blogger Tips
Kanye West and Rihanna at AMAs


Best Blogger Tips
Beyonce: Nataka kuwa na Mtoto



Beyonce, ana mpango wa kumpuzika kwa muda wa miezi sita, baada ya kumaliza ziara yake ya Dunia mwezi ujao, kuna uwezekano wa kupatikana mtoto wa Beyonce na mumewe Jay-Z?

“Hakika nataka kuwa na mtoto, lakini, najua kutokana na mpwa wangu, ni kazi kubwa”. Beyonce, alikuwa akioongea na Gazeti la Allure katika toleo lake la February alipoulizwa kuhusu mipango yao ya baadaye kama mume na mke.
Best Blogger Tips


Iringa Mjini


Mitaa ya Highland Cinema


Kwa Mshindo


Miyomboni area


Mitaa ya NMC

Picha zimepigwa na Axel Rye Clausen na Nick Reynolds.
Best Blogger Tips
Serikali yasalimu amri TRL

HATIMAYE mkataba wenye utata kati ya serikali na Kampuni ya Rites kutoka India inayoendesha Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), utavunjwa rasmi ifikapo Februari mwaka huu.

Kuvunjwa rasmi kwa mkataba huo, kuliwekwa wazi jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu, Omari Chambo wakati alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Rosemary Kirigini (CCM), mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali.

Huku wabunge wakishangilia kwa kupiga meza zao, Chambo alisema mkataba huo utavunjwa rasmi mwezi ujao baada ya serikali kuridhika kwamba uongozi wa kampuni hiyo ni mbovu. Habari hii kwa undani utaipata hapa.
Best Blogger Tips
Rais Kikwete atimua mkurugenzi Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete jana aligeuka mbogo na kumtimua Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, Kayange Jacob ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, baada ya kubaini kuwa wasaidizi wake wamemdanganya.


Mbali na kumtimua mkurugenzi huyo, Rais Kikwete ambaye alitakiwa kukabidhi magari ya wagonjwa kwa halmashauri za wilaya za Mbozi na Longido, aliondoka katika hafla hiyo kwa hasira bila kugawa magari hayo. Kwa habari zaidi ingia hapa.

Thursday, January 14, 2010

Best Blogger Tips
Rest in Peace Teddy Pendergrass




Best Blogger Tips

Pinda atangaza mali zake



WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametangaza mali zake. Aliwaambia wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jana ofisini mwake, Dar es Salaam, kuwa anamiliki nyumba tatu, na yuko katika pilikapilika za kujenga nyumba ya nne.
Pinda, ambaye ni kiongozi wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne kutangaza mali zake hadharani, alisema kwamba ana akaunti kadhaa ambazo zikijumuishwa pamoja, zina kiasi cha pesa kisichozidi sh milioni 25.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

Wednesday, January 13, 2010

Best Blogger Tips
Beyonce & Jay-Z Named Hollywood’s Top-Earning Couple


LOS ANGELES, Calif.   Move over Brangelina and the Beckhams – Beyonce and Jay-Z have been named Hollywood’s Top-Earning Couple by Forbes magazine.

According to the mag, the dynamic duo earned a whopping $122 million between June 2008 and June 2009.
Beyonce beat husband Jay-Z’s bank account, bringing home $87 million to his $35 million. This isn’t the couple’s first time on Forbes’ list. Last year they also came in the top spot, pulling in $162 million.

On Tuesday, Beyonce told USA Today that she’s planning a well-deserved break after she wraps her current tour next month.
 Access the full story.
Best Blogger Tips
Anne Kilango ataka mawaziri wachaguliwe na wananchi

MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ameponda mfumo wa kuwapata mawaziri na kupendekeza kuwa wachaguliwe na wananchi kama ilivyo kwa rais.

Wakati Kilango akisema hayo kwenye uzinduzi wa ripoti ya kujipima kwa kutumia vigezo vya utawala, mbunge wa Karatu, Dk Willibrod Slaa amesema nchi itavurugika kutokana na muswada wa sheria ya udhibiti wa fedha za uchaguzi unaoandaliwa kuwasilishwa kwenye mkutano ujao wa Bunge.

Kauli ya Kilango inatokana na ripoti hiyo ya Mfumo wa Kupima Utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutaja kwamba mchanganyiko kati ya Bunge na serikali unakinzana na kanuni. Kwa habari zaidi ingia hapa.

Monday, January 11, 2010

Best Blogger Tips


Simon Cowell Is Leaving American Idol


LOS ANGELES, Calif. -- It’s official, Simon Cowell is leaving “American Idol” to launch “The X Factor” stateside.Simon announced the news himself at FOX’s Television Critics Association panel in Pasadena, Calif., on Monday afternoon.
Simon said the deal was reached early Monday afternoon to bring his British reality competition, which launched the career of Leona Lewis, stateside to FOX.
According to AOL TV, Simon signed the agreement on stage, which will not only bring the show over, but see Simon executive produce and judge on the show.
“I’m thrilled that we have put a date on the launch of the U.S. version of ‘The X Factor,’ and delighted to be continuing to work with FOX,” Simon said in a statement to Access Hollywood. “We have a fantastic relationship, a great team and are all very excited about this.”“The X Factor” will launch stateside in the fall of 2011, FOX confirmed in a release.

Thursday, January 7, 2010

Best Blogger Tips
Obama orders changes after anti-terror lapses


WASHINGTON - President Barack Obama suggested Thursday he would not fire anyone for the attempted Christmas airline attack, saying it appears the security lapses that led to the near-disaster were not the fault of a single individual or institution. "Ultimately the buck stops with me," said the commander in chief.

He declared anew that the government had the information to prevent the botched attack but failed to piece it together. He announced a range of changes designed to fix that, including wider and quicker distribution of intelligence reports, stronger analysis of them and new terror watch list rules.


Best Blogger Tips
Buriani Mzee Rashidi.

Tangu kufariki kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania enzi za Mwalimu, Rashid Mfaume Kawawa, mambo mengi yamezungumzwa na kuandikwa kuhusu aliyoyafanya wakati wa uhai wake. Jenerali ulimwengu katika makala yake ya Rai ya Jenerali, aliyoitoa wiki hii, amezungumza kiundani jinsi alivyomfahamu Mzee Kawawa.Kwa habari zaidi kuhusu article hiyo ingia hapa.

Mwandishi mwingine aliyepata kufanya mahojiano na Mzee Kawawa ni Godfrey Dilunga wa Raia mwema, kwa mujibu wa maelezo yake, amewahi kufanya mahojiano nae mara mbili. Kwa habari zaidi kuhusu mahojiano yake na Mzee kawawa ingia hapa.

Wednesday, January 6, 2010

Best Blogger Tips

IVORY Coast national soccer team, the Elephants Captain and top flight English premier league club, Chelsea striker Didier Drogba receives Taifa Stars jersey from President Jakaya Kikwete during a luncheon hosted for the Ivorian team, Rwandan national team, Amavubi, and Taifa Stars in Dar es Salaam today.(Photo by Mroki Mroki).

Monday, January 4, 2010

Best Blogger Tips
Mamou

Nimeikuta hii Mamou(Translation of lyrics) kwenye Globu ya jamii mwenyewe nimechoka,maana wimbo naujua lakini nilikuwa sijui una maana ipi.
Here you go!!


Sunday, January 3, 2010

Best Blogger Tips
Rais Jacob Zuma na mke wa mpya wa 5


Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, amefunga ndoa na mke mpya wa tano. Inasemekana mipango iko mbioni kuoa mke wa sita. Amefunga  ndoa na Thobeka Madiba. Kwa habari zaidi na dance yake ya kukata na shoka, ingia hapa, na hapa pia.

Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits