Sunday, February 28, 2010

Best Blogger Tips
Jordan reaches deal to buy controlling interest of Bobcats

CHARLOTTE, N.C. (AP) -- Michael Jordan's drive and immense physical talent made him an NBA superstar. His stardom and shrewdness helped him make millions in business.

His latest venture will test his talents and skills like no other.

NBA commissioner David Stern said Saturday he expects Jordan to be approved as majority owner of the Charlotte Bobcats by the end of next month. Minutes before his exclusive negotiating window expired late Friday night, Jordan struck a deal with owner Bob Johnson to take over the money-losing team in his home state.

It puts the biggest basketball star of his generation in charge of a 6-year-old team that's never made the playoffs, has struggled to win over fans and has more than $150 million in debt.

Can Jordan's streak of business success continue?

"If he's going to be an absentee owner, just like Bob was, it's not going to work," said Felix Sabates, a NASCAR team owner who also holds a minority stake in the Bobcats. "I think if Michael makes a commitment and shows dedication, he can be very successful. He's a big icon in this part of the country."
Access the full story.

Thursday, February 25, 2010

Best Blogger Tips
First African American to play in the NBA


Although it’s not an uncommon sight to see African-Americans playing basketball in the National Basketball Association today, it was in 1950. This was the first year that would see an African-American play in the NBA. The date was October 31, 1950 and the player was the now legendary Earl Lloyd.

His nickname was “The Big Cat” and he joined the NBA at the same time as three other African-Americans. He played for the Washington Capitols and they had their season opener before any of the other teams that had just made African-Americans part of their team. Charles Cooper, who played for the Boston Celtics, became the second African-American to play in the NBA the next night. It was four days later that Nick “Sweetwater” Clifton became the third African-American to play in the NBA for the New York Knicks.

Earl Lloyd played in over 560 games over a nine year period in the NBA. He averaged 8.4 points and 6.4 rebounds in a game. He was inducted into the Basketball Hall of Fame in 2003.








Monday, February 22, 2010

Best Blogger Tips
Spika Sitta ngoma nzito, atoboa siri ya ujasiri wake

SPIKA wa Bunge Samuel Sitta ametoboa siri ya ujasiri wake akisema inatokana na nguvu za Mungu, ambazo zimekuwa zikimwezesha kutekeleza wajibu wake kwa uhakika, bila kuyumbishwa wala kuogopa kitu chochote.

Katika kujenga kizazi kipya cha viongozi bora wa taifa hili, Spika Sitta alisema vijana wajengewe maadili mema ili kuwaepusha na ufisadi.

Kauli hiyo ya Sitta imetolewa kipindi ambacho baadhi ya watu wamekuwa wakilishambulia Bunge kwamba limewasaliti Watanzania, kutokana na uamuzi wa Spika huyo kufunga mjadala wa kashfa ya Richmond Development (LLC) hivi karibuni.

Wakati makombora hayo yakielekezwa kwenye Bunge analoongoza, jana Spika Sitta alizidi kuonyesha kuwa bado yuko ngangari na kisha kutoboa siri ya ujasiri wake ambayo aliapa kuiendeleza.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

Saturday, February 20, 2010

Best Blogger Tips
Kibaki na Odinga kukutana Jumapili

Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga wanatarajiwa kukutana siku ya Jumapili pamoja na msuluhishi wa mgogoro wa Kenya, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, kujadili mgogoro uliopo kati yao.

Kwa mujibu wa taarifa ya Salim Lome msaidizi wa waziri wakuu viongozi hao wawili wanategemewa kujadili matatizo yanayoikabili serikali ya mseto ikiwa ni pamoja na suala la rushwa ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi kwa mawaziri wa elimu na kilimo.

Lakini wakati huo huo wafuasi wa Rais Mwai Kibaki wamepinga vikali kuhusika kwa Koffi Annan kwenye usuluhishi huo na walieleza kuwa ni bora aende huko Kenya kama mtalii tu lakini si kuingilia kati siasa za Kenya.

Msemaji huyo wa Odinga ameongeza kwamba tayari viongozi hao wameshafanya mazungumzo ya awali kwenye simu wakati Bw. Odinga akiwa ziarani huko Japan na kukubaliana kuwa watakutana siku ya Jumapili.

Kofi Annan aliyefanikiwa kuwashawishi kumaliza mzozo wao aliwasihi watilie maanani mazungumzo hayo na hasa masuala ya rushwa na mabadiliko muhimu kwenye taasisi za taifa.

Friday, February 19, 2010

Best Blogger Tips
Tiger Woods: I'm truly sorry


TIGER WOODS: Good morning, and thank you for joining me. Many of you in this room are my friends. Many of you in this room know me. Many of you have cheered for me or you've worked with me or you've supported me.


Now every one of you has good reason to be critical of me. I want to say to each of you, simply and directly, I am deeply sorry for my irresponsible and selfish behavior I engaged in.

I know people want to find out how I could be so selfish and so foolish. People want to know how I could have done these things to my wife, Elin, and to my children. And while I have always tried to be a private person, there are some things I want to say.

Elin and I have started the process of discussing the damage caused by my behavior. As Elin pointed out to me, my real apology to her will not come in the form of words; it will come from my behavior over time. We have a lot to discuss; however, what we say to each other will remain between the two of us. Access the full story.
Whatch the Video

Thursday, February 18, 2010

Best Blogger Tips

Lundenga: Iacheni mahakama ifanye kazi zake

MRATIBU wa mashindano ya urembo, Hashim Lundenga amewataka Watanzania kuiachia mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru na ione kama kweli mrembo wake ana hatia ama la.

Akizungumza na Mwananchi jana, Lundenga alisema kumekuwa na hoja kuwa Kamati ya Miss Tanzania imvue taji mrembo, kitu alichosema hakiwezekani.

Hatua ya Lundenga imekuja ikiwa ni siku moja baada ya mrembo wake, Miriam Gerald kuachiwa huru kwa kile kilichoelezwa kufanya shambulio la mwili na kuharibu mali na mtu mmoja anayeaminika kuwa ni rafiki yake.

Miriam aliyetwaa taji Oktoba 2, mwaka jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa madai ya kumshambulia Shaaban Moshi kwa vitu vyenye ncha kali wakati shitaka la pili, ni kufanya uharibifu wa mali yenye thamani ya shilingi 720,000.



Best Blogger Tips
Chris Brown Doing Well With Community Service

LOS ANGELES, Calif. -- Chris Brown got a positive progress report in Los Angeles Superior Court on Thursday.

A judge told the singer that he was doing “really well” in serving out his probation and community service, with 32 days of hard labor completed so far.

In court, Brown said three words – “Thank you, ma’am.”

His next progress report will be May 11, by which time the judged expected him to be at least halfway through his service, which he is fulfilling in his home state of Virginia.

In November, he received an “extremely favorable” report.

The singer was sentenced in October following his arrest on charges of felony assault against Rihanna in February 2009

Source: Access hollywood

Wednesday, February 17, 2010

Best Blogger Tips
Rais Mwai Kibaki akwepa mjadala

Rais Mwai Kibaki, jana alikwepa mjadala mkali unaoendelea kuhusu mzozo wa mamlaka kati yake na Waziri Mkuu. Badala yake, Rais alionekana kuchukulia hali kuwa shwali na badala yake kuzungumzia hali kuhusu kuimarisha uchumi wa nchi.

Alikuwa akizungumza katika kiwanda cha pombe cha EastAfrican Breweries, jijini Nairobi, wakati wa uzinduzi wa mtambo mpya wa kutayarishia bia. Jana ilikuwa shughuli yake ya kwanza ya hadhara tangu mambo yatumbukie nyongo kati yake na Bwana Odinga kuhusu kashfa za mahindi na elimu bila malipo, jumamosi iliyopita.

Rais Kibaki, alikataa katakata kugusia suala hilo wakati ambapo mashirika ya kijamii yalikuwa yakiandamana jijini kumshinikiza awafute kazi Bwana Sam Ongeri (Elimu) na Bwana Wiliam Ruto (Kilimo), ambao walisimamishwa na Bwana Odinga, lakini Rais akabatilisha uamuzi huo.
Best Blogger Tips
17 waliokatwa mapanga Tanzania wazikwa

Watu hao wa ukoo mmoja waliouawa usiku wa kuamkia Jumanne mjini Musoma,kaskazini mwa Tanzania wamezikwa Jumatano jioni.

Maelfu ya wananchi walihudhuria maziko hayo,huku serikali ya Tanzania ikiahidi kuwasaka watuhumiwa wa mauaji hayo.

Nyasinde Kawawa, msichana mwenye umri wa miaka 21 alikuwa mwenye huzuni kubwa huku majeneza 17 yakiwekwa mbele ya nyumba.

Babake,mamake,ndugu zake watano na binamu yake wote waliuawa kwenye tukio hilo.

Nyasinde alinusurika kifo kwa kuwa ameolewa na anaishi mbali na nyumbani kwao.

Source: BBC

Tuesday, February 16, 2010

Best Blogger Tips
Sanamu ya Obama yahamishwa



Jakarta, Indonesia;
Sanamu ya Rais Barack Obama iliyokuwa kwenye bustani katika mji mkuu wa Indonesia, iliondolewa na kupelekwa kwenye shule ambayo Rais huyo alisoma wakati akiwa mtoto.

Sanamu hiyo iliyotengenezwa kwa shaba, iliundwa kulingana na rais huyo akiwa na miaka 10. Sanamu hiyo ilikuwa imelengwa na wakosoaji tangu ilipowekwa kwenye bustani hiyo mwaka jana. Wakosoaji hao walisema kwamba shujaa wa nchi hiyo ndiyo angepatiwa heshima hiyo kwani rais Obama huenda bado akafuatilia sera ambazo zitaumiza matakwa ya Indonesia.

Rais Obama ambaye mama yake ni mmarekani aliolewa na mwanamme raia wa Indonesia baada ya kutalikiana na baba yake Obama raia kutoka Kenya. Alisoma katika mji huo kanzia mwaka 1967 hadi 1971 na anathaminiwa na watu wengi wa Indonesia.
Best Blogger Tips
Patreaus amsaidia usafiri Clinton

Waziri wa masuala ya nje wa Marekani, Hillary Clinton, ndege yake ilipata matatizo ya kiufundi akiwa Jeddah, Saudi Arabia alipokuwa akifanya mkutano kwenye chuo kimoja mjini humo.

Bahati nzuri, General Patreaus na ujumbe wake alikuwa karibu ya maeneo hayo, akikutana na Mfalme wa Saudia, Mfalme Abdullah, mjini Riyadh siku ya jumatatu.

Patreaus na ujumbe wake, walikubali kumchukua Clinton kurejea nyumbani, lakini kulikuwa na mabadiliko kidogo. Kwa kuwa Clinton, cheo chake ni kikubwa kuliko Patreaus, ndege hiyo ilibidi kuwa chini ya Clinton mara tu alipoingia kwenye ndege.

Best Blogger Tips
Kenya; ODM kususia mikutano


Tofauti za kisiasa nchini Kenya inaelekea zinaendelea kuzidi, na chama cha waziri mkuu Raila Odinga sasa kikielezea kitasusia vikao vya baraza la mawaziri hadi suluhu itakapopatikana.

Ubishi ulianza mwishoni mwa wiki, waka Rais Mwai Kibaki alibatilisha uamuzi wa waziri mkuu Raila Odinga kuwasimamisha kazi mawaziri wawili, kuhusiana na madai ya kashfa za ufisadi.

Mwandishi wa BBC wa Afrika Mashariki ameelezea kwamba hali hiyo ni ya kutia wasiwasi, kwani ni dalili ya kuelekea kuporomoka kwa serikali ya mseto.

Serikali hiyo ya pamoja ilianzishwa miaka miwili iliyopita, kufuatia vifo vya watu 1500 katika ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi mkuu.

Monday, February 15, 2010

Best Blogger Tips
Obamas praise Stevie Wonder at White House


President Barack Obama presents the Second Library of Congress Gershwin Prize for Popular Song to Stevie Wonder at this special concert in the East Room of the White House in celebration of African American History Month.

"I think it's fair to say that had I not been a Stevie Wonder fan, Michelle might not have dated me. We might not have married," Obama said as he and the first lady hosted a concert and award ceremony for Wonder. "The fact that we agreed on Stevie was part of the essence of our courtship."
Premiere Date: 02/25/2009




Best Blogger Tips
CCM yaridhia serikali ya mseto Zanzibar



Chama Tawala nchini Tanzania CCM kimeridhia mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya mseto huko Zanzibar kama njia muafaka ya kuondoa chuki
 
Kikao hicho kilichomalizika manane za usiku kimetaka kura za maoni kuhusu serikali hiyo zipigwe na Wazanzibari wote baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Habari kwa undani ingia hapa.
Best Blogger Tips
Lowassa, Sitta wagomea suluhu

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kimeshindwa kuwasuluhisha Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa na Spika wa Bunge Samuel Sitta, Tanzania Daima limeelezwa.

Taarifa za uhakika kutoka katika kikao cha NEC kilichoketi Dodoma tangu juzi, zinasema kwamba makundi ya vigogo hao yalikuwa yanakamiana kumalizana na kutunishiana misuli, huku Sitta akidai hana sababu ya kusuluhishana na Lowassa kwa sababu hawana ugomvi binafsi.

Kutokana na kushindwa kuwasuluhisha mahasimu hao wawili na wapambe wao, kikao hicho kilipendekeza Kamati ya Mwinyi iongezewe muda ili kuwapa fursa nyingine ya kufikia hatima ya uhasama huo ambao umedumu kwa zaidi ya miaka miwili.
Kwa habari zaidi ingia hapa.
Best Blogger Tips
CCM washusha pumzi


SUALA la bajeti ya uchaguzi ndani ya CCM na mvutano baina ya makundi ndani ya chama ni miongoni mwa mambo yaliyozua mvutano katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (Nec) uliyomalizika jana na kushindwa kufikia hitimisho na badala yake inadaiwa kuwa walilishana yamini ili mambo yaishe.


Mazingira hayo pia yaliwafanya wajumbe wa mkutano huo kuitaka Kamati ya Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyopewa jukumu la kuchunguza kiini cha mparaganyiko ndani ya chama hicho tawala, hivyo kuiongezea muda ili kuweka sawa baadhi ya mambo ambayo hayakuwa na majibu ya kujitosheleza.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

Sunday, February 14, 2010

Best Blogger Tips
Slam Dunk Contest





Nate Robinson, mchezaji kutoka New York, jana usiku alitetea taji lake kwa kuibuka mshindi katika ya mashindano ya dunk, yaliyofanyika katika ukumbi wa American Airline, kwenye mji wa Dallas, Texas. Robinson, alikuwa anashiriki mashindano hayo kwa mara ya tano.

Kwa ushindi wake wa jana, Robinson anakuwa ameshinda mara tatu, na kuwa mchezaji pekee ambaye amefanikiwa kushinda mara tatu katika historia ya mashindano hayo. Mwaka 2006, alichukua taji hilo, wakati mashindano hayo yalipofanyika Houston, na pia mwaka jana (2009) alifanikiwa kuchukua tena huko Phoenix.

Friday, February 12, 2010

Best Blogger Tips
Muziki wa Latin White House


Rais Barack Obama na Mkewe waliandaa sherehe ya muziki wa Latin iliyofanyika White House, sherehe hiyo ilifanyika mwaka jana, tarehe 15 ya mwezi wa 10. Wanamuziki waliotoa raha siku hiyo ni  Marc Anthony, Jimmy Smits, Gloria Estefan, Jose Feliciano, George Lopez, Thalia, Tito "El Bambino, the Bachata music group Aventura, and the Chicano rockband Los Lobos, with Sheila E. as the musical director.
 Kwa wale wapenzi wa charanga p'se enjoy to the fullest.
Best Blogger Tips
Obama ampigia simu Mandela

Rais Barack Obama wa Marekani, amempigia simu rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika kuazimisha kilele cha sherehe za kutimiza miaka 20 tangu alipoachiwa kifungoni, leo ijumaa. Taarifa ya Ikulu ya Marekani imeeleza.

Mandela, mwenye umri wa miaka 91, aliachiwa toka kifungoni mwaka 1980, baada ya kukaa gerezani kwa muda wa miaka 27, kwa kosa la kupinga ubaguzi wa rangi.

Monday, February 8, 2010

Best Blogger Tips
Oprah aongea na wabakaji wa watoto
 Oprah Winfrey, ameongea na wabakaji wa watoto, wabakaji hao wameelezea kwa kirefu jinsi walivyokuwa wanafanya unyama huo kwa watoto ikiwa ni pamoja na mbinu walizokuwa wanatumia kuwapata watoto hao.
Mmoja wao amekili kwamba alifanya unyama huo kwa mtoto wake aliyemzaa.

Friday, February 5, 2010

Best Blogger Tips
Mandela amkaribisha Winnie

Nelson Mandela, amesherehekea miaka 20 ya kuachiliwa toka kifungoni kwa chakula maalumu cha jioni, akiwa pamoja na mke wake wa zamani, Winnie Mandela pamoja na aliyekuwa afisa wake wa jela.

Mandela, aliyekuja kuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, aliachiwa huru katika gereza la kisiwa cha Robbin tarehe 11 ya mwezi wa february mwaka 1990 baada ya kukaa gerezani kwa miaka 27.
Katika hafla hiyo, walijumuika pia watoto na wajukuu zake.
Best Blogger Tips
Daktari wa Jackson kushitakiwa jumatatu

Kesi inayomuhusu Conrad Murray, aliyekuwa Daktari wa Michael Jackson, itafunguliwa siku ya jumatatu, ofisi ya mwanasheria wa Los Angeles imeeleza.

"Hakuna kesi itakayofunguliwa leo dhidi ya kifo cha Michael Jackson,” mwakilishi wa ofisi ya Mwanasheria wa LA iliiambia Access Hollywood. kesi itatafunguliwa siku ya Jumatatu, Februari 8, katika Mahakama iliyopo La Cienega Blvd. Habari kuhusu ratiba ya kesi hiyo zitatolewa na mahakama baada ya kesi kuanza.

Baada ya ofisi ya Mwanasheria wa LA kutangaza kwamba kesi itafunguliwa jumatatu, Ed Chernoff, wakili wa Murray, aliaihirisha mkutano aliouandaa wa kuzungumza na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika saa saba mchana leo.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

Thursday, February 4, 2010

Best Blogger Tips
Daktari wa Michael Jackson kujisalimisha.



Wakili wa aliyekuwa Daktari wa Michael Jackson, anaongea na mteja wake ili aweze kujisalimisha kwenye Mamlaka ya sheria katika Jiji la Los Angeles.

Katika ripoti yake aliyoitoa siku ya alhamisi, Wakili Ed Chetnoff, amesema anafanya mazungumzo na ofisi ya Mwanasheria wa Los Angeles kwa ajili ya kujisalimisha kwa Conrad Murray.

Maafisa wa sheria waliiambia Associate Press kwamba, upande wa mashitaka una mpango wa kumshitaki Murray kwa kosa la Uuaji wa bila kukusudia kwa kumpa Jackson dawa zenye nguvu kubwa za anesthetic, zilizopelekea kifo chake mwezi wa sita mwaka huu.

Murray hajashitakiwa bado, anategemewa kupelekwa mahakamani siku ya ijumaa. Maafisa hao walikuwa wanazungumza kwa sharti la kutotaja majina, kwa ajili ya umuhimu wa kesi hiyo.

Murray amesisitiza kwamba hajampa kitu chochote kibaya Michael Jackson ambacho kilisababisha kifo chake.
Best Blogger Tips
Mtoto aliyenusurika ajali apata ndugu

MTOTO aliyenusurika katika ajali ya mabasi mawili yaliyogongana juzi na kusababisha vifo vya watu 25 na wengine 52 kujeruhiwa, amechukuliwa baada ya kujitokeza kwa ndugu zake.

Mtoto huyo, ambaye alihifadhiwa Hospitali ya Mkoa wa Tanga ya Bombo, amechukuliwa na babu yake aliyejitambulisha kwa jina la Meshack Lotaayanywa Laiser.


Best Blogger Tips
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na mmoja wa waasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chausiku Mussa (75) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika katika eneo la Mahakama Kuu, Dar es Salaam jana. Kushoto kwa Rais ni Spika wa Bunge la Tanzania, Samuel Sitta. (Picha na Fadhili Akida).

Monday, February 1, 2010

Best Blogger Tips
Grizzlies waifunga Lakers

 Grizzlies, team ambayo Hasheem Thabeet anachezea, leo wameweza kuifunga team ngumu ya Lakers kwa 95-93. Grizzlies, team ambayo ilikuwa haipewi kabisa nafasi ya kufanya vizuri katika michuano ya NBA, imekuwa tishio kubwa sana hasa inapocheza kwenye uwanja wake wa nyumbani.

Mpaka sasa hivi team hiyo imeshinda mechi 25 kati ya 46 ilizocheza. Licha ya Kobe Bryant kupata points 44 katika mchezo huo, haikuweza kuwazuia vijana hao wa Memphis kuweza kuibuka na ushindi na kuwaacha vijana toka LA kutoamini macho yao.

Kesho wana game ngumu dhidi ya Cleveland Cavaliers. Cavaliers ndio wanaoongoza kwa upande wa East kwa sasa hivi, wakiwa na mkali wao Lebron James na mkongwe Shaq O'neal.

Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits