Friday, April 6, 2012

Rest In Peace Kanumba, Gone Too Soon

Best Blogger Tips
Mcheza filamu maarufu wa Tanzania, Steven Kanumba, amefariki dunia. Habari ambazo zinapatikana kwenye mitandao ya jamii, zinaeleza kwamba Kanumba amefariki ghafla nyumbani kwake usiku wa kuamkia jumamosi, sababu za kifo chake bado hazijajulikana.

Kanumba, ni mchezaji wa filamu ambaye ametoa filamu nyingi sana na ambazo zinavutia sana ukiziangalia. Watanzania, hasa wapenzi wa filamu wamepata pigo kubwa sana kwa kuondekewa na mmoja wa watu ambao wameleta mchango mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Tanzania.

Mungu Umeweke Mahala Pema Peponi Steven Kanumba, Amina.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits