Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Dallas Mavericks, DirkNowitzki, ambaye ni raia wa Ujerumani, amefunga ndoa na nchumba wake wa muda mrefu
anayeitwa Jessica Olsson.
Jessica, ambaye Mama yake ni mzaliwa wa Kenya, na Baba yake ni mzaliwa wa sweden, anafanya kazi na kuishi Dallas, Texas.
No comments:
Post a Comment