Friday, July 16, 2010

Best Blogger Tips
Uendawazimu wa kisiasa

Hebu fikiria: Mwenyekiti wa TLP (Mrema) anasema Kikwete na CCM yake ni kiboko na hawakamatiki; tena anasema hayo kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ambako anafikia hata hatua ya kucheza jukwaani anaposhangiliwa na wajumbe, halafu baada ya hapo anarudi Dar na kuongoza kikao cha TLP cha kuchagua mgombea urais wa kuchuana na Kikwete! Kama huu si uendawazimu wa kisiasa ni nini? - Johnson Mbwambo (Raia Mwema)

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits