Thursday, January 28, 2010

Best Blogger Tips
Alicia keys avishwa pete ya uchumba

Alicia Keys na Beatz wakivinjari Hawaii beach siku aliyovishwa pete Jan. 24.

Alicia keys, amevishwa pete ya uchumba siku moja kabla ya sherehe ya siku ya kuzaliwa kwake, ambapo ametimiza miaka 29, iliyofanyika tarehe 25 ya mwezi huu. Aliyemvalisha pete hiyo ni Producer wake, anayeitwa Swizz Beatz. Beatz, 31, hivi sasa ameachana na aliyekuwa mke wake Mashonda.

2 comments:

Anonymous said...

Kaka/dada anayehost this blog ni dj? kama uko US nanomba contact zako. I need your old school playlist. Asante Bupe M.

Anonymous said...

Hivi huyu alikuwa hajoelewa! Aah, jamaa amepata bonge la mtoto.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits