Thursday, January 14, 2010

Best Blogger Tips

Pinda atangaza mali zakeWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametangaza mali zake. Aliwaambia wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jana ofisini mwake, Dar es Salaam, kuwa anamiliki nyumba tatu, na yuko katika pilikapilika za kujenga nyumba ya nne.
Pinda, ambaye ni kiongozi wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne kutangaza mali zake hadharani, alisema kwamba ana akaunti kadhaa ambazo zikijumuishwa pamoja, zina kiasi cha pesa kisichozidi sh milioni 25.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits