Thursday, January 28, 2010

Best Blogger Tips
Baba adaiwa kuua watoto wake wawili

JESHI la Polisi linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuua watoto wake wawili wa kiume, lakini Jeshi la Polisi limesema bado halijagundua watoto hao waliuawa vipi hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.


Mtu huyo, Moses Tipana, 37, ambaye ni mfanyakazi wa Bandari ya Dar es salaam, kitengo cha mizigo, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wawili, Patrick Moses, 16, na Siti Moses, 12, baada ya maelezo yake kuhusu vifo hivyo kuwa na utata.
Pata habari hii kwa undani.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits