Tuesday, January 19, 2010

Best Blogger Tips
Beyonce: Nataka kuwa na MtotoBeyonce, ana mpango wa kumpuzika kwa muda wa miezi sita, baada ya kumaliza ziara yake ya Dunia mwezi ujao, kuna uwezekano wa kupatikana mtoto wa Beyonce na mumewe Jay-Z?

“Hakika nataka kuwa na mtoto, lakini, najua kutokana na mpwa wangu, ni kazi kubwa”. Beyonce, alikuwa akioongea na Gazeti la Allure katika toleo lake la February alipoulizwa kuhusu mipango yao ya baadaye kama mume na mke.

2 comments:

Anonymous said...

Hiyo sentence ya kusema najua kutokana na mpwa wangu bado sijaielewa vizuri.

God uses difficuties to make us people He can trust and people He can use (Joyce Meyer)

Stacey said...

She is so beautiful, I am just saying.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits