Wednesday, January 13, 2010

Best Blogger Tips
Anne Kilango ataka mawaziri wachaguliwe na wananchi

MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ameponda mfumo wa kuwapata mawaziri na kupendekeza kuwa wachaguliwe na wananchi kama ilivyo kwa rais.

Wakati Kilango akisema hayo kwenye uzinduzi wa ripoti ya kujipima kwa kutumia vigezo vya utawala, mbunge wa Karatu, Dk Willibrod Slaa amesema nchi itavurugika kutokana na muswada wa sheria ya udhibiti wa fedha za uchaguzi unaoandaliwa kuwasilishwa kwenye mkutano ujao wa Bunge.

Kauli ya Kilango inatokana na ripoti hiyo ya Mfumo wa Kupima Utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutaja kwamba mchanganyiko kati ya Bunge na serikali unakinzana na kanuni. Kwa habari zaidi ingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits