Tuesday, January 19, 2010

Best Blogger Tips
Serikali yasalimu amri TRL

HATIMAYE mkataba wenye utata kati ya serikali na Kampuni ya Rites kutoka India inayoendesha Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), utavunjwa rasmi ifikapo Februari mwaka huu.

Kuvunjwa rasmi kwa mkataba huo, kuliwekwa wazi jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu, Omari Chambo wakati alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Rosemary Kirigini (CCM), mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali.

Huku wabunge wakishangilia kwa kupiga meza zao, Chambo alisema mkataba huo utavunjwa rasmi mwezi ujao baada ya serikali kuridhika kwamba uongozi wa kampuni hiyo ni mbovu. Habari hii kwa undani utaipata hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits