Wednesday, January 20, 2010

Best Blogger Tips
Maafa ya Haiti

Michango mbali mbali inaendelea kutolewa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Haiti, baada ya kukumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha maafa makubwa katika nchi hiyo.

Rais Obama na mkewe, leo wametoa hundi ya $15,000 kwa ajili ya kusaidia watu wa Haiti. Juhudi kubwa zinafanyika ili kuweza kuirejesha nchi hiyo katika hali iliyokuwa nayo kabla ya maafa.


Majengo mengi yamenguka


Jamaa akitafakari nini cha kufanya


No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits