Thursday, January 7, 2010

Best Blogger Tips
Buriani Mzee Rashidi.

Tangu kufariki kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania enzi za Mwalimu, Rashid Mfaume Kawawa, mambo mengi yamezungumzwa na kuandikwa kuhusu aliyoyafanya wakati wa uhai wake. Jenerali ulimwengu katika makala yake ya Rai ya Jenerali, aliyoitoa wiki hii, amezungumza kiundani jinsi alivyomfahamu Mzee Kawawa.Kwa habari zaidi kuhusu article hiyo ingia hapa.

Mwandishi mwingine aliyepata kufanya mahojiano na Mzee Kawawa ni Godfrey Dilunga wa Raia mwema, kwa mujibu wa maelezo yake, amewahi kufanya mahojiano nae mara mbili. Kwa habari zaidi kuhusu mahojiano yake na Mzee kawawa ingia hapa.

2 comments:

Anonymous said...

Alikuwa na kipaji cha uongozi.

Anonymous said...

Mungu Ameweke mahala Pemam Peponi, Amina


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits