Sunday, June 6, 2010

Best Blogger Tips
Celtics washinda dhidi ya Lakers


 Ray Allen na Rajon Rondo, wamechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wa Celtics dhidi ya Lakers, wameweza kulipiza kisasi kwa kuifunga Lakers kwa points 103-94.

Alikuwa ni Ray Allen aliyeongoza kwa points kwa upande wa Celtics, ametoka na points 32 katika mchezo huo.

Rajon Rondo, aliweza kuwaongoza wenzake kwa ustadi mkubwa na kutoa pasi za uhakika katika kusaidia ushindi huo wa Celtics, alipata points 19, rebounds 12 na 10 assists.
Mchezo wa tatu utakuwa siku ya jumanne ya tarehe 8.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits