Monday, December 7, 2009

Best Blogger Tips
Big Brother Revolution


Hatimaye Kevin kutoka Nigeria, amekuwa mshindi wa Big Brother Africa Revolution. Kevin amepata $200,000 kwa ushindi huo. Kevin alikuwa rafiki mkubwa wa aliyekuwa anaiwakilisha Tanzania kwenye shindano hilo Elizabeth Gupta. Elizabeth alijitahidi sana lakini bahati mbaya akatolewa na mapema.
Kitu kilichonishangaza ni kwa nini Kevin ambaye ni Mnigeria alivaa fulana ya Tanzania.

2 comments:

Anonymous said...

Tanzania iko juu sasa hivi, sio ajabu kuona mambo hayo.

Anonymous said...

Alifika sana kwa Elizabeth, ndiyo sababu amevaa hiyo fulana. Atapata matatizo sana akifika kwao.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits