Friday, December 18, 2009

Best Blogger Tips
Jon and Kate Gosselin


Baada ya miaka 10 ya ndoa, Jon na Kate Gosselin, wameachana rasmi. Hati ya kuachana imesainiwa na Judge Arthur R. Tilson.
Kate ataendelea kuishi na watoto kwenye nyumba yao na John atakuwa akitoa pesa za kusaidia kuwatunza watoto.
Kate, mwenye umri wa miaka 34, amesema, ameridhika na uamuzi huo, na kwamba anatarajia kuuanza mwaka mpya kwa kutilia mkazo malezi ya watoto wake.
Jon, mwenye umri wa miaka 32, pia amesema ameridhika na uamuzi huo.
Unaweza kupata udaku huu kiundani zaidi pamoja na habari zingine kwa kuingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits