Tuesday, December 22, 2009

Best Blogger Tips
Diary of Kelly Rowland

Kelly Rolands anazungumzia ziara yake aliyoifanya katika nchi za Tanzania, Kenya na South Africa. Akiwa Tanzania, aliweza kufika hadi Uwanja wa Fisi na kujionea mwenyewe jinsi maisha yalivyo huko, aliweza kukutana na waathilika wa ukimwi na kuzungumza nao. Alizungumza pia na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali na kuwaeleza amejifunza nini kutokana na ziara yake hiyo.


Diary of Kelly Rowland from mtv staying alive on Vimeo.

1 comment:

Anonymous said...

Inatia huruma sana, hasa story ya Elizabeth, hayo ndiyo maisha halisi yalivyo nyumbani, inabidi ifanyike kazi ya ziada.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits