Monday, December 14, 2009

Best Blogger Tips
Hasheem Thabeet

Mtoto wa nyumbani, Hasheem Thabeet, anaechezea Memphis Grizzlies, jana jumapili, alifanya mambo siyo ya kawaida hadi kuingizwa kwenye Sunday's Top 5 ,na kudhihirisha kwa nini alikuwa chaguo la pili katika NBA Draft, licha ya dakika chache alizopewa katika mchezo huo. Grizzlies wakicheza dhidi ya Miami Heat, ikiongozwa na mkali wao Dwayne Wade, waliibuka na ushindi mzuri wa points 28 (MEM 118, MIA 90).
No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits