Wednesday, December 23, 2009

Best Blogger Tips
Mambo ya Kobe Bryant

Kobe Bryant, jana aliendelea kufanya vitu vyake, kwa kuibuka na points 40, wakati Lakers walipocheza na Thunder. Ukubali au usikubali, lakini ukweli unabaki kwamba Kobe ni mchezaji aliye na kipaji cha hali ya juu katika mpira wa Kikapu.
Angalia shughuli aliyofanya kwenye video hii.


2 comments:

John said...

Kobe yuko juu sana.

Anonymous said...

Sijaona wa kumfananisha nae, jamaa ni mkali sana.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits