Thursday, December 17, 2009

Best Blogger Tips
Steve HarveySteve Harvey, ni mchekeshaji ambaye anafanya shughuli zake kwenye Radio na Televison hapa USA. Steve anatumia muda mrefu wa kazi zake siyo tu kuwachekesha wasikilizaji wake lakini pia kuwaelimisha jinsi ya kuishi maisha bora na ya amani, ikiwa ni pamoja na kumuweka Mungu mbele katika kila jambo.
Steve pia ni Mtunzi mzuri wa vitabu, Moja ya vitabu ambavyo Steve ameandika na kupendwa sana na watu ni  Act like a Lady, Think like a Man.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits