Saturday, December 12, 2009

Best Blogger Tips
Miss World 2009

Miss World 2009, Kaiane Aldorino baada ya kutangazwa mshindi


Miss South Africa, Tatum Keshwar

Miss Gibraltar, Kaiane Aldorino, ameshinda taji la Miss World 2009 katika mashindano yaliyoafanyika Johannesburg, South Africa kwa mwaka huu. Nafasi ya pili imechukuliwa na Miss Mexico, Perla Beltran, na mshindi wa tatu ni Miss South Africa, Tatum Keshwar.

1 comment:

Anonymous said...

Miss South Africa, alipaswa kuwa Miss World, sijui ameshindwa kwa vigezo gani.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits