Wednesday, December 23, 2009

Best Blogger Tips
Vigogo njia panda

SIKU chache tu kabla ya kuanza kwa mwaka wa mchakato wa kuelekea kilele cha Uchaguzi Mkuu, baadhi ya wabunge waliopoteza matumaini ya kurejea bungeni wameanza kusitisha harakati hizo huku baadhi wakishindwa kuwatembelea wapiga kura kwa miezi kadhaa sasa, na wengine wakijaribu mbinu mpya kurekebisha mchafuko wa hali ya hewa kwa upande wao, Raia Mwema, imebaini.

Wabunge hao takriban 100 kwa muda sasa baadhi wameanza kupunguza kasi ya mawasiliano kati yao na wapiga kura na wengine wachache kati yao, wamekata kabisa mawasiliano hayo kutokana na kujiridhisha kwao kwamba hawana tena fursa ya kushindana na hatimaye kurejea bungeni.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

1 comment:

Anonymous said...

Kama habari hii ni ya kweli, basi hali ni ngumu sana kwa Wabunge hawa, inabidi wafanye kazi ya ziada.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits