Thursday, December 17, 2009

Best Blogger Tips

Pichani ni Raisi Jakaya Kikwete, Makamu wa Raisi Dr Ali Mohamed Shein, wakiwa pamoja na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahimu Lipumba na Katibu wake Maalim Seif Shariff Hamad wakati wa sherehe za Miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika kwenye uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Picha hii inaleta matumaini makubwa, kwamba viongozi hawa wanaweza kuwa wanatofautiana kisiasa lakini hawana chuki kati yao. Picha hii imepigwa na Emanuel Kwitema.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits