Sunday, March 14, 2010

Best Blogger Tips
Gregory Isaacs


Jina lake ni Gregory Anthony Isaacs, alizaliwa 15 july mwaka 1957, huko Fletchers Land, Kingstone Jamaica. Ni mmoja kati ya waimbaji wakali sana wa Reggae music. Kila nyimbo yake utakayoisikiliza utaipenda. Alianza kufanya vitu vyake kuanzia mwaka 1968, lakini mpaka leo vitu vyake si vya kawaida. Mwaka 2008 alitoa album yake iliyokwenda kwa jina la Brand New Me.

Zifuatazo ni baadhi ya nyimbo zake ambazo zilipendwa sana.

Night Nurse


Substitute lover


Hard drugs

1 comment:

Anonymous said...

Jamaa sauti yake bado kali mpaka sasa hivi. Nyimbo zake huwezi kuchoka kusikiza.


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits