Friday, March 12, 2010

Best Blogger Tips
Zilipendwa

Orchestra Super Mangelepa, mambo yao yalikuwa sio ya kawaida, waliweza kuwapa raha vijana wa enzi hizo kwa nyimbo zao motomoto, ukweli ni kwamba vijana wa enzi ya Mwalimu wakikwambia wakati wa ujana wao walikula raha ni kweli walifanya hivyo. Nyako konya ni moja ya nyimbo ambayo ilikuwa kali sana kwa wakati huo.No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits