Tuesday, March 2, 2010

Best Blogger Tips
Hasheem Thabeet atesa D - League


Mtoto wa Sinza, Hasheem Thabeet, amethibitisha kwamba shughuli anaiweza baada ya kuisaidia timu yake ya Dakota Wizards kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Albuquerque Thunderbirds wa points 109 – 81.

Hasheem ambaye alikuwa nyota wa mchezo huo, aliondoka na points 18, akiwa mchezaji mwenye points nyingi kwenye timu yake katika mchezo huo. Katika game iliyopita dhidi ya Ants, Hasheem aliweza kuisadia timu yake kuibuka na ushindi wa 94 – 85.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits