Monday, February 15, 2010

Best Blogger Tips
CCM washusha pumzi


SUALA la bajeti ya uchaguzi ndani ya CCM na mvutano baina ya makundi ndani ya chama ni miongoni mwa mambo yaliyozua mvutano katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (Nec) uliyomalizika jana na kushindwa kufikia hitimisho na badala yake inadaiwa kuwa walilishana yamini ili mambo yaishe.


Mazingira hayo pia yaliwafanya wajumbe wa mkutano huo kuitaka Kamati ya Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyopewa jukumu la kuchunguza kiini cha mparaganyiko ndani ya chama hicho tawala, hivyo kuiongezea muda ili kuweka sawa baadhi ya mambo ambayo hayakuwa na majibu ya kujitosheleza.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits