Sunday, February 14, 2010

Best Blogger Tips
Slam Dunk Contest

Nate Robinson, mchezaji kutoka New York, jana usiku alitetea taji lake kwa kuibuka mshindi katika ya mashindano ya dunk, yaliyofanyika katika ukumbi wa American Airline, kwenye mji wa Dallas, Texas. Robinson, alikuwa anashiriki mashindano hayo kwa mara ya tano.

Kwa ushindi wake wa jana, Robinson anakuwa ameshinda mara tatu, na kuwa mchezaji pekee ambaye amefanikiwa kushinda mara tatu katika historia ya mashindano hayo. Mwaka 2006, alichukua taji hilo, wakati mashindano hayo yalipofanyika Houston, na pia mwaka jana (2009) alifanikiwa kuchukua tena huko Phoenix.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits