Tuesday, February 16, 2010

Best Blogger Tips
Patreaus amsaidia usafiri Clinton

Waziri wa masuala ya nje wa Marekani, Hillary Clinton, ndege yake ilipata matatizo ya kiufundi akiwa Jeddah, Saudi Arabia alipokuwa akifanya mkutano kwenye chuo kimoja mjini humo.

Bahati nzuri, General Patreaus na ujumbe wake alikuwa karibu ya maeneo hayo, akikutana na Mfalme wa Saudia, Mfalme Abdullah, mjini Riyadh siku ya jumatatu.

Patreaus na ujumbe wake, walikubali kumchukua Clinton kurejea nyumbani, lakini kulikuwa na mabadiliko kidogo. Kwa kuwa Clinton, cheo chake ni kikubwa kuliko Patreaus, ndege hiyo ilibidi kuwa chini ya Clinton mara tu alipoingia kwenye ndege.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits