Monday, February 15, 2010

Best Blogger Tips
CCM yaridhia serikali ya mseto ZanzibarChama Tawala nchini Tanzania CCM kimeridhia mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya mseto huko Zanzibar kama njia muafaka ya kuondoa chuki
 
Kikao hicho kilichomalizika manane za usiku kimetaka kura za maoni kuhusu serikali hiyo zipigwe na Wazanzibari wote baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Habari kwa undani ingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits