Friday, February 5, 2010

Best Blogger Tips
Daktari wa Jackson kushitakiwa jumatatu

Kesi inayomuhusu Conrad Murray, aliyekuwa Daktari wa Michael Jackson, itafunguliwa siku ya jumatatu, ofisi ya mwanasheria wa Los Angeles imeeleza.

"Hakuna kesi itakayofunguliwa leo dhidi ya kifo cha Michael Jackson,” mwakilishi wa ofisi ya Mwanasheria wa LA iliiambia Access Hollywood. kesi itatafunguliwa siku ya Jumatatu, Februari 8, katika Mahakama iliyopo La Cienega Blvd. Habari kuhusu ratiba ya kesi hiyo zitatolewa na mahakama baada ya kesi kuanza.

Baada ya ofisi ya Mwanasheria wa LA kutangaza kwamba kesi itafunguliwa jumatatu, Ed Chernoff, wakili wa Murray, aliaihirisha mkutano aliouandaa wa kuzungumza na waandishi wa habari uliopangwa kufanyika saa saba mchana leo.
Kwa habari zaidi ingia hapa.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits