Friday, February 5, 2010

Best Blogger Tips
Mandela amkaribisha Winnie

Nelson Mandela, amesherehekea miaka 20 ya kuachiliwa toka kifungoni kwa chakula maalumu cha jioni, akiwa pamoja na mke wake wa zamani, Winnie Mandela pamoja na aliyekuwa afisa wake wa jela.

Mandela, aliyekuja kuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, aliachiwa huru katika gereza la kisiwa cha Robbin tarehe 11 ya mwezi wa february mwaka 1990 baada ya kukaa gerezani kwa miaka 27.
Katika hafla hiyo, walijumuika pia watoto na wajukuu zake.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits