Friday, February 12, 2010

Best Blogger Tips
Obama ampigia simu Mandela

Rais Barack Obama wa Marekani, amempigia simu rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika kuazimisha kilele cha sherehe za kutimiza miaka 20 tangu alipoachiwa kifungoni, leo ijumaa. Taarifa ya Ikulu ya Marekani imeeleza.

Mandela, mwenye umri wa miaka 91, aliachiwa toka kifungoni mwaka 1980, baada ya kukaa gerezani kwa muda wa miaka 27, kwa kosa la kupinga ubaguzi wa rangi.

No comments:


Copyright 2011 Mambo ya Leo Blog. All Rights Reserved.
 

yasmin lawsuits